AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Alhamdulillaah...katika mtihani ambao nishauvuka na kufaulu na hiyo fitna ya wanawake... Allaah aniepushe na tamaa zao.Una uhakika hauhongeki
View attachment 3369735
Naombeni kazi kweli kweli...nitakusaidia sana pakubwa ukinipa nafasi hiyo...sitoichezea..Una uhakika hauhongeki
0627410088Sasa no zako ziko wapiii? Ili iwe rahisi kukufikia.
Nashukuru sana... Allaah alipitishe neno lako liwe ndio lake...Mkuu Nina uhakika unaenda kupata KAZI.....save hii comment
Nashukuru sana..SITOWAANGUSHA...Kila la kheri
Sawaa0627410088