Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Devid Junior, Mchunguzi na Mwanasheria wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, amewataka wasanii kuwa makini katika kipindi cha uchaguzi na kampeni za kisiasa, akisema kuwa wao ni kioo cha jamii. Ameongeza kuwa wasanii wanapaswa kujiepusha na rushwa na kudumisha maadili bora wakati wote.
Soma, Pia:
+ TAKUKURU Manyara wavionya vyama vya Siasa dhidi ya rushwa, kuwaanika watakaobainika kipindi cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
+ Kagera: TAKUKURU yatoa onyo kali kwa wagombea na vyama vya siasa dhidi ya vitendo vya rushwa katika Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa