Mtaalam wa Tiba ya Akili na Saikolojia: Ikipita mwezi hujalia hadi kutokwa na machozi utakuwa na tatizo la akili

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Atakuwa anamanisha wanawake, mwanaume unaanzaje kulia.......!

Hata kama maumivu ni makali kiasi gani unagugumia na vimachozi kwa mbali.
 
Mwanaume kulia Lia haswa kulizwa na vitu vya kipuzi km mapenzi n umama zaidi..

Mwanaume Lilia moyoni🤭
Aliyetoa hili Tamko ni Mtaalam wa Tiba ya Akili na Saikolojia cha Kushangaza Popoma Tukuka moja linambishia hapa.
 
Atakuwa anamanisha wanawake, mwanaume unaanzaje kulia.......!

Hata kama maumivu ni makali kiasi gani unagugumia na vimachozi kwa mbali.
Aliyetoa hili Tamko ni Mtaalam wa Tiba ya Akili na Saikolojia cha Kushangaza Popoma Tukuka moja linambishia hapa.
 
Kuna kaupande fulani kwenye mlango wa kuingilia kwangu najikuta najigonga Mara kwa mara kidole Cha mwisho ,ukweli ni kuwa uwe naumia kiasi Cha kulia na haipiti wiki sijajigonga hapo .

Kumbe ni Mungu ananiponya na magonjwa ya akili
 
Aliyetoa hili Tamko ni Mtaalam wa Tiba ya Akili na Saikolojia cha Kushangaza Popoma Tukuka moja linambishia hapa.
Wewe ndo utakuwa popoma la kimataifa,

Mwanaume unalia ili uhurumiwe na nani Dunia hii....! Kama siyo kuishia kuambukiza utepetevu kwa wanao.....!
 
Hana lolote mkuu 😂😂..ndio wale wale km kina kiboko ya wachawii hao ..kulia Lia wachie dada zetu
 
Aliyetoa hili Tamko ni Mtaalam wa Tiba ya Akili na Saikolojia cha Kushangaza Popoma Tukuka moja linambishia hapa.
Basi anza kulia lia lakini nakushauri upate na mme wa kuwa anakubembeleza.
 
Ukute mtaalamu mwenyewe akili haziko sawa usiamini kila unachosikia
 
Back
Top Bottom