GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Aliyetoa hili Tamko ni Mtaalam wa Tiba ya Akili na Saikolojia cha Kushangaza Popoma Tukuka moja linambishia hapa.Mwanaume kulia Lia haswa kulizwa na vitu vya kipuzi km mapenzi n umama zaidi..
Mwanaume Lilia moyoni🤭
Aliyetoa hili Tamko ni Mtaalam wa Tiba ya Akili na Saikolojia cha Kushangaza Popoma Tukuka moja linambishia hapa.Atakuwa anamanisha wanawake, mwanaume unaanzaje kulia.......!
Hata kama maumivu ni makali kiasi gani unagugumia na vimachozi kwa mbali.
Wewe ndo utakuwa popoma la kimataifa,Aliyetoa hili Tamko ni Mtaalam wa Tiba ya Akili na Saikolojia cha Kushangaza Popoma Tukuka moja linambishia hapa.
Aliyetoa hili Tamko ni Mtaalam wa Tiba ya Akili na Saikolojia cha Kushangaza Popoma Tukuka moja linambishia hapa.Wewe ndo utakuwa popoma la kimataifa,
Mwanaume unalia ili uhurumiwe na nani Dunia hii....! Kama siyo kuishia kuambukiza utepetevu kwa wanao.....!
Hana lolote mkuu 😂😂..ndio wale wale km kina kiboko ya wachawii hao ..kulia Lia wachie dada zetuAliyetoa hili Tamko ni Mtaalam wa Tiba ya Akili na Saikolojia cha Kushangaza Popoma Tukuka moja linambishia hapa.
Basi anza kulia lia lakini nakushauri upate na mme wa kuwa anakubembeleza.Aliyetoa hili Tamko ni Mtaalam wa Tiba ya Akili na Saikolojia cha Kushangaza Popoma Tukuka moja linambishia hapa.
Yaaan mi mpaka nilie sijui anyway njoo mi najua ntafanyaje we ulie😁Mpaji Mungu njoo tulie🤣🤣🤣
mzoeeni huyo huyo mume wenu mnayemtqa hapa na siyo mimi sawa? kama mmezoea kumiminiwa nae hadi kutwa mnajipendekeza kwake basi siyo mimiCognizant una maoni gani ktk hili mdau?
Ukisikiaa paaah! Ujue ,mzoeeni huyo huyo mume wenu mnayemtqa hapa na siyo mimi sawa? kama mmezoea kumiminiwa nae hadi kutwa mnajipendekeza kwake basi siyo mimi
Inatakiwa ulie, usishupaze shingo.Yaaan mi mpaka nilie sijui anyway njoo mi najua ntafanyaje we ulie😁
Kulia tuwaachie watoto wa daslamInatakiwa ulie, usishupaze shingo.
Utapata kichaa! Shaurilo 🤣Kulia tuwaachie watoto wa daslam