Mtaalamu aje anitengenezee (design) blog ya kanisa

Mtaalamu aje anitengenezee (design) blog ya kanisa

Nahitaji tovuti kwa ajili ya kanisa.
Mtaalamu mmoja aje pm au awake namba nimcall.
Updates
Nimepata mtu pm naona ataweza kunifanyia hiyo kazi. Asante.
Nipo hapa karibu sana. Nitakutengenezea website kulingana na mahitaji yako Nicheki WhatsApp WhatsApp pia tunatoa huduma ya mfumo wa usimamizi wa kanisa ambapo utautumia free kwa miezi 3 ya kwanza.
 
Back
Top Bottom