Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Mar 16, 2023 #1 Nahitaji tovuti kwa ajili ya kanisa. Mtaalamu mmoja aje pm au awake namba nimcall. Updates Nimepata mtu pm naona ataweza kunifanyia hiyo kazi. Asante.
Nahitaji tovuti kwa ajili ya kanisa. Mtaalamu mmoja aje pm au awake namba nimcall. Updates Nimepata mtu pm naona ataweza kunifanyia hiyo kazi. Asante.
Jeitakuajejaji Senior Member Joined Mar 18, 2010 Posts 175 Reaction score 394 Mar 16, 2023 #2 Pm yako imefungwa mkuu
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 19,644 Reaction score 40,546 Mar 16, 2023 #3 Kazi kazini
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Mar 16, 2023 Thread starter #4 Jeitakuajejaji said: Pm yako imefungwa mkuu Click to expand... Ngoja niifungue. Karibu
H herman3 JF-Expert Member Joined Feb 7, 2015 Posts 556 Reaction score 736 Mar 16, 2023 #5 Sandali Ali said: Nahitaji tovuti kwa ajili ya kanisa. Mtaalamu mmoja aje pm au awake namba nimcall. Updates Nimepata mtu pm naona ataweza kunifanyia hiyo kazi. Asante. Click to expand... Nipo hapa karibu sana. Nitakutengenezea website kulingana na mahitaji yako Nicheki WhatsApp WhatsApp pia tunatoa huduma ya mfumo wa usimamizi wa kanisa ambapo utautumia free kwa miezi 3 ya kwanza.
Sandali Ali said: Nahitaji tovuti kwa ajili ya kanisa. Mtaalamu mmoja aje pm au awake namba nimcall. Updates Nimepata mtu pm naona ataweza kunifanyia hiyo kazi. Asante. Click to expand... Nipo hapa karibu sana. Nitakutengenezea website kulingana na mahitaji yako Nicheki WhatsApp WhatsApp pia tunatoa huduma ya mfumo wa usimamizi wa kanisa ambapo utautumia free kwa miezi 3 ya kwanza.