MwanaFA,
version gani hiyo?
na je inasimama yenyewe kwenye website yake au ni subdomain?
Kitu kingine, labda uandike mwaliko wako huo kwa Kiingereza pia ili kuongeza response kutoka kwa wengine mbalimbali wasiojua Kiswahili, Maana jukwaa letu la ICT hapa JF lina member wengi ambao si waongeaji wa lugha yetu ya Taifa. Ni hayo tu.
SteveD.