johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuchanja ni moja ya njia za kuchukua tahadhari!Magu aliona mbali sana
Tutapata taabu Sana.Alfa
Beta
Delta...
Hivi Eid El Fitr na Eid El Haj ni tofauti?hiyo ni plan ya wazungu ikikaribia ramadhani ya waislamu utasikia kirusi kipya ili wasiende kuhiji macca na kufanya umra ibada ya ramadhani huko makka na ubaya saudia wana mfalme ovyoo sana ni bora angepatikana mfalme anaefanana na makufuli huko
So mnamtaka mfalme kichaa?hiyo ni plan ya wazungu ikikaribia ramadhani ya waislamu utasikia kirusi kipya ili wasiende kuhiji macca na kufanya umra ibada ya ramadhani huko makka na ubaya saudia wana mfalme ovyoo sana ni bora angepatikana mfalme anaefanana na makufuli huko
Mtapata taabu sana ninyi mlio-temper natural immune zenu kwa chanjo biashara ya mzungu!Tutapata taabu Sana.
Sasa naye kaenda mbali sanaMagu aliona mbali sana
System ya maishaSasa naye kaenda mbali sana
Sawa kabisa.Kuchanja ni moja ya njia za kuchukua tahadhari!
Yaan " NYOSO VIRUS" ππππdaaaaaah kweli hiki ni kirusi aina ya nyoso
Kirusi kina akili kuliko binadamu.Mganga mkuu wa Uingereza ameitangazia dunia kwamba kirusi kipya cha Corona ni kijanja kuliko kile cha delta na kinakwepa mishale ya chanjo.
Mtaalamu huyo amesema jambo la muhimu kwa sasa ni kila binadamu kuchukua tahadhari zote ili kukwepa maambukizi.
Source: BBC Dira ya Dunia