Kenya 2022 Mtaalamu: Kura 1 ndio huamua Rais wa Kenya (50%+1) ndio sababu Serena 4 wanadai kura 1400 ni nyingi sana

Kenya 2022 General Election

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mtaalamu mmoja wa mambo ya Uchaguzi amenieleza kuwa Rais wa Kenya huamuliwa kwa kura 1 tu kwenye Uchaguzi nyingine zote ni mbwembwe tu

Rais mteule anapaswa kupata 50%+1 na hiyo 1 ndio huamua kwa sababu akilpata 50% pekee hawi Rais

Hivyo wanaodai 001% ni kitu kidogo hawajui taratibu na kanuni za Chaguzi mbalimbali

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
 
Haya mwambie mtaalamu wako atoe hizo kura 1400 kisha uje tena.
 
Mtaalamu mmoja wa mambo ya Uchaguzi amenieleza kuwa Rais wa Kenya huamuliwa kwa kura 1 tu kwenye Uchaguzi nyingine zote ni mbwembwe tu

Rais mteule anapaswa kupata 50%+1 na hiyo 1 ndio huamua kwa sababu akilpata 50% pekee hawi Rais

Hivyo wanaodai 001% ni kitu kidogo hawajui taratibu na kanuni za Chaguzi mbalimbali

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Ukiondoa hizo kura kwa Ruto je Ruto anabakiwa na kura ngapi? Ukimuongezea hizo kura Raila anakuwa na kura ngapi? Mbona Raila hataji kura alizopata au mawakala wake hawakujumlisha?
 
Sheria inaangalia thamani ya kura 1 tu endapo itaongexwa au kupungua kwa wizi nini kitatokea kwenye formula ya kumpata mshindi yaani 50%+1
 
Back
Top Bottom