Natafuta mtaalamu wa ku-design na kutengeneza garden za nyumba. Kama una utaalamu huo nirushie contacts zako kwa PM. Pia unaweza kupost hapa kwa manufaa ya wanaJF wengine wenye kuhitaji huduma kama hiyo.
Jamani nyumba ni garden bana ... au sio wanajamvi!!!