Habari za jioni ndugu zangu, naomba kama kuna mtaalaamu wa kufunga GPS tracking za vyombo vya usafiri mfano boda boda na bajaji na magari namuomba tuwasiliane aje PM tuyajenge.
Angalizo: Sihitaji mwenye kampuni au mtu mwenye ofisi namtaka mtu aje nimwajiri mimi nina kampuni na nimepata tenda