Mtaalamu wa kutengeneza fresh juice anatakiwa

Mtaalamu wa kutengeneza fresh juice anatakiwa

master of cities

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
429
Reaction score
625
Natafta mdada anayeweza kutengeneza fresh juice , umri Kati ya miaka 18-30
Awe msafi (extremely) awe mvumilivu na ,mwelewa , Elimu form 4 ad above .....

Ajue location bora ya kuweka biashara Kwa Dar es salaam ..... Anichek PM...

Mtaji upo so nahtaji mtaalam na mshauri pia ...first task aje na option ya location

Aliye serious aje PM

Malipo ni 30% ya faida..
 
1. Haujaweka mawasiliano ya namna ya kukupata. Sio kila mtu yupo JF.

2. Umespecify jinsia kuwa ni ke tu. Je kama kuna mtaalamu wa kiume ambaye ni noma kweli kweli na anapatia kisawa sawa tusimwambie sababu umetaka wa kike?!
 
Hujasema ww unapatikana maeneo gani
 
Back
Top Bottom