Mtaalamu wa lugha kwa kutumia ishara(mwaafrika)wakati meya wa NY akihutubia

Mtaalamu wa lugha kwa kutumia ishara(mwaafrika)wakati meya wa NY akihutubia

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
11,904
Reaction score
8,371
Jana kwenye SkyNews niliona burudani ya kutosha kutoka kwa mwana mama mwaafrika ambaye ni mtaalamu wa lugha kwa ishara,alivyokuwa anaonyesha alama kwa vitendo na kwa hisia hakika ilinisisimua sana,niliona tofauti kubwa na hawa wa kwetu ambao wanakuwa wanyonge(nafikiri wanawaza mshiko mdogo wanaaopewa).Nilichojifunza kwa kumuona mwanadada yule ni kuwa uifurahie kazi yako na utaifaanya kwa mafanikio
 
Back
Top Bottom