Phovix
Member
- Jun 17, 2019
- 5
- 3
Bila Shaka Haujambo Na Unaendelea Vizuri! Kwa Majina Mi Ni Max Ernest Ni Mtaalamu Wa Graphics, Branding & Social Media Management.
Nimebarikiwa Zaidi Katika Uandaaji Wa Matangazo! Hapa Namaanisha Matangazo Mazuri Ya Video Na Sauti!
Kulingana Na Uzoefu Katika Industry Hii Sifa Nyingi Na Namna Watu Wanavyozikubali Kazi Zangu Nimegundua Katika Kipengele Cha Matangazo Nipo Vizuri!
Naandaa SCRIPT Mwenyewe, Naingiza Voice Over Hapa I ategemeana Na Context Ya Tangazo Lenyewe, So Najua Kabisa Ni Wapi Itumike Voice Over Ya Kike, Au Ya Kiume Na Iwe Ktk Design Gani Ili Kulifanya Tangazo Liwe La Kuvutia Kiufupi Ni Expert Ktk Voice Over Pia,
Ili Tangazo Livutie Linahitaji Vipengele Vingi Vya Kitaalamu Na Ubunifu Wa Hali Ya Juu Kitu Ambacho Wengi Hata Wenye Elimu Ya Juu Kuhusu Matangazo Wanafeli (Ubunifu)
Na Linapokuja Suala La Ubunifu Linalenga Kote Kuanzia Maneno Yatakayotumika Katika Tangazo, Sauti Na Video Kwa Ujumla. Kitu Ambacho Utakuta Wengi Wanafeli Unaweza Kukuta Sauti Ni Nzuri Na Script imepangiliwa Vizuri Kabisa Lakini Wanakuja kufel kwenye video, au video inakuwa nzr Wanafeli voice ktu Ambacho Ktk Suala Zima La Matangazo Inakuwa Changamoto!
Mi Nimeiva Katika Vipengele Vyote! Na Kila Tangazo linakuwa Kiproffessional Zaidi nazingatia muda Yan halichoshi na Ubunifu ni kama wote!
Maneno Naona Yatakuwa Mengi Sana Lakini Ukihitaji Msaada Wa Tangazo, Na Kama Utahitaji Kujifunza Pia
+255 760 785 108
Maxmilian Mgoroli