bwegebwege
JF-Expert Member
- Jul 30, 2010
- 1,072
- 186
Wana JF! Mtaniwia radhi kama naleta hoja mahali pasipofaa, ila nahitaji msaada.
Tunatafuta mtaalamu wa ukweli kufanya finishing (carpentry works) ya nyumba kubwa ya vyumba vitano including Master bedroom, Living room, Kitchen, Laundry and storage room. Kazi anayotakiwa kuifanya ni kuchonga kuweka frames za milango na madirisha of high standards (mbao nzuri na kazi ya kiwango cha juu). Kazi inatarajia kuanza mwishoni mwa mwezi March. Kama kuna mwana JF anayefahamu mtaalamu yeyote naomba contacts ..awe tayari kuonyesh akazi alizokwisha fanya
Nawasilisha
Wana JF! Mtaniwia radhi kama naleta hoja mahali pasipofaa, ila nahitaji msaada.
Tunatafuta mtaalamu wa ukweli kufanya finishing (carpentry works) ya nyumba kubwa ya vyumba vitano including Master bedroom, Living room, Kitchen, Laundry and storage room. Kazi anayotakiwa kuifanya ni kuchonga kuweka frames za milango na madirisha of high standards (mbao nzuri na kazi ya kiwango cha juu). Kazi inatarajia kuanza mwishoni mwa mwezi March. Kama kuna mwana JF anayefahamu mtaalamu yeyote naomba contacts…..awe tayari kuonyesh akazi alizokwisha fanya
Nawasilisha
Mkuu ,unaweza kupata milango ktk standard ya milango ya 5 star hotels ,eg. Sea cliff/kilimanjaro etc
Fundi yupo siyo msumbufu aliniafanyia kazi nzuri sana,Tatizo ni Bei tu,Frame alicharge 155,000.Top ya mlango ni 230,000 so mlango mmoja uligharimu 385,000 na kitasa 65,000 and bawaba 60,000 inakuja around laki 490,000 per mlango.Kwakweli ukishapachikwa unaweza kuwa unauangalia like a work of Art. hawa jamaa wapo kinondoni near bp ya mwanamboka,they are buisy throughout the year.ukiona watakufaa let me know jamaa anaitwa Malisa.
Mkuu huyu fundi wako anatumia mti gani? Maana nilikutana na fundi mmoja mahali yeye anatumia Mkongo na gharama ya mlango mmoja (double door ni Tshs 450,000) na single ni chini ya hapo. Kazi yake niliipenda kwa kweli. Ila pia alisema kama kazi ni kubwa (yaani milango ni mingi) bei inaweza kupungua.