Mtaalamu wa mtandao

Mtaalamu wa mtandao

Uncle Mabiki

Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
77
Reaction score
77
Kama kichwa cha habari,nina ujuzi mkubwa wa na uelewa mwingi kwenye maswala ya platform.
Yeyote mwenye shida ya kufanyiwa kazi yeyote kwa malipo madogo anitafte
Mfano wa vitu navyoweza
1)Google android (google play console,adsense,account recovery n.k
2)Youtube,blogger(link to payment)
3)Vingine vingi
Namba zangu 0762693368
NB:kuna baadhi ya platform kuipata kama play console ni USD 25 malipo hayo unayalipa google moja kwa moja
0762693368
 
Bro acha uvivu kwa huo ujuzi wako hautaji kuandika uzi humu,start your own service bila hivyo utasugua


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom