Mtaalamu wa Real Estates mwenye uzoefu anahitajika

OBWERE

Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
46
Reaction score
8
Ndugu wana JF,nina imani kubwa jukwaa hili lina unganisha watu mablimbali wenye uwezo na vipaji vingi.pia ni njia /sehem muhimu kama kiungo cha jamiii.Kwa leo nina shida ya kumpata mtaalamu wa real estate ili tushauliane mambo mawili matatu katika fani hiyo.Natoa ombi kwa mwenye ujuzi katika fani hiyo especially aliyepo Dar es salaam ani PM kwa mawasiliano zaid.

Ni muhimu,plse.

Asanten.
 
Funguka mkuu

Unataka mtaalamu wa Elimu ya Real Estate au anayejihusisha na real estate?
 
Mkuu yupo mtaalam huyo unaye muhitaji tena ni professional?
 
Wewe utakuwa umemaliza kusoma kitabu cha Rich Dady Poor Dady siyo bure mkuu
 
Back
Top Bottom