Mtaalamu wa Udongo na kilimo mazao

Mtaalamu wa Udongo na kilimo mazao

Joined
Mar 25, 2022
Posts
28
Reaction score
34
Hellow wakuu,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, muhitimu wa bachelor degree ya Agronomy kutoka SUA, baada ya masomo yangu nimewahi kufanya kazi kama field officer katka project ya kuhamasisha kilimo bora cha zao la ufuta Morogoro.

Ninao uwezo wa kufanya kazi katika nyanja mbalimbali kama kushughulika na pembejeo za kilimo ikiwemo Madawa, mbolea na mbegu lakini pia kupima udongo, kusimamia project za kilimo au mashamba pamoja na kutoa ushauri juu ya kilimo bora cha kitaalam. Zaidi ninao uwezo mkubwa wa kutumia computer.

Kwa sasa natafuta chance ya shughuli yoyote inayohusiana kilimo au yoyote kwenye taaluma yangu, kwa ajili ya kupata uzoefu zaidi, na kuonyesha uwezo wangu katka jamii.

Kama unaweza kuwa na connection yoyote, karibu
0758121634/ 0620676049
 
Umeshindwa hata kupata kieneo cha wazi uanzishe bustani ya maua maharusi waje wapige picha kwa kulipia au hata kitalu cha kuotesha mbegu za maua/miti ujiingizie kipato?!

Kama jibu ni NDIYO, unasafari ndefu.
 
Kuandika rahisi nyieee...!!
 
Hivi ni kwanini nyuzi kama hizi za kutafuta connection/ajira Jf huwa hazichangamkiwi, au ndo tuseme hakuna watu wenye fursa humu!!? Ninachokiamini kuna watu wengi wakubwa na waliojahaliwa kuwa na fursa mbali mmbali tuweni na tamaduni ya kuinuana jamani, bila shaka kila mtu alianzia chini.
 
Issue siyo kutochangamkiwa,mbona wadau wamejaribu kukuonyesha ili uwashawishi inabidi binafsi ufanye nini,unataaluma nzuri tu ya kuweza kujiajiri mbona Kama unajiogopea,ni kweli wAtu wengi huanzia chini Ila utambue WALIAMUA kuanza chini,sasa Kama nawe walitambua Hilo badala ya kupoteza muda wako mwingi kutafuta kuanzia juu,Shuka chini nenda kaanze.
Kuna matango pori huwa mnalishana kuhusu elimu,si kweli kwamba elimu haisaidii Ila huwa mnaamini elimu ndio itatue matatizo yako,wakati ni kinyume chake,wewe utatue matatizo yako kupitia hiyo elimu yako,umeelimikaje wakati hujiamini fursa upande wa kilimo bado ni kubwa sana Ila kwa mitazamo yenu hii sijui mtaishia kuajiriwa badala ya kujiajiri.
Elimu inawFanya mnakuwa waoga msioweza kujikana kwa kujaribu,vinginevyo useme elimu ya ujasiriamali hamuielewi mnaiona ni kama somo la kusoma ufaulu.
 
Hellow wakuu,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, muhitimu wa bachelor degree ya Agronomy kutoka SUA, baada ya masomo yangu nimewahi kufanya kazi kama field officer katka project ya kuhamasisha kilimo bora cha zao la ufuta Morogoro.

Ninao uwezo wa kufanya kazi katika nyanja mbalimbali kama kushughulika na pembejeo za kilimo ikiwemo Madawa, mbolea na mbegu lakini pia kupima udongo, kusimamia project za kilimo au mashamba pamoja na kutoa ushauri juu ya kilimo bora cha kitaalam. Zaidi ninao uwezo mkubwa wa kutumia computer.

Kwa sasa natafuta chance ya shughuli yoyote inayohusiana kilimo au yoyote kwenye taaluma yangu, kwa ajili ya kupata uzoefu zaidi, na kuonyesha uwezo wangu katka jamii.

Kama unaweza kuwa na connection yoyote, karibu
0758121634/ 0620676049
Nataka unisaidie gharama za kupima udongo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makazi yako wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka unisaidie gharama za kupima udongo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss gharama za kupima udongo hazipo straight forward, zinatofautiana kulingana na vitu vikuu vifuatavyo; aina ya upimaji itakayotumika, idadi ya sampuli, idadi ya parameter za kupima pamoja na
maabara itakayotumika.

(1). Aina ya upimaji;
Maabara (bora na gharama zaid)
Digital (Kwa kutumia soil testing kits)

(2). Idadi ya sample;
Sample zinaweza kuwa nyingi au chache kulingana na zao linalolengwa kulimwa (ya muda mrefu eg. Miti ya matunda, chikichi, korosho n.k au mazao ya msimu mfano maharage na mahind) lakini pia utofauti wa udongo katika sehemu za shamba husika ( variation); shamba lenye variation kubwa sample ztakuwa nyingi tofauti na linalofanana.

(3). Parameters za udongo zinazokusudiwa;

Hizi zinahusisha elements muhimu za virutubisho katika udongo kama vile total N, soluble P, exchangeable K
pamoja na pH n.k ambazo humsaidia mtaalamu kufanya hitimisho na ushauri wa jumla juu ya rutuba ya udongo wako.

(4). Maabara itakayotumika.
Tuna wet chemistry lab mfano SUA Morogoro pamoja na dry chemistry lab mfano Selian Arusha. Gharama za upimaji kwa sample zinatofautiana kwa kila maabara
Mafano kwa SUA kupima N, P, K na pH inacost Tsh. 22,600/= per sample.

NB: Maamuzi sahihi kuhusu; aina gani ya upimaji itumike?, idadi ya sample ngapi zichukuliwe?, parameter gani zipimwe na maabara gani bora? Na ushauri wa jumla juu ya udongo wa shamba lako hutolewa kwa ufasaha na mtaalamu baada ya kulitembelea shamba na kuona halihalisi kulingana na utaalamu na uzoefu wake.

Kwa ushauri zaidi karibu PM au 0758121634.
 
Issue siyo kutochangamkiwa,mbona wadau wamejaribu kukuonyesha ili uwashawishi inabidi binafsi ufanye nini,unataaluma nzuri tu ya kuweza kujiajiri mbona Kama unajiogopea,ni kweli wAtu wengi huanzia chini Ila utambue WALIAMUA kuanza chini,sasa Kama nawe walitambua Hilo badala ya kupoteza muda wako mwingi kutafuta kuanzia juu,Shuka chini nenda kaanze.
Kuna matango pori huwa mnalishana kuhusu elimu,si kweli kwamba elimu haisaidii Ila huwa mnaamini elimu ndio itatue matatizo yako,wakati ni kinyume chake,wewe utatue matatizo yako kupitia hiyo elimu yako,umeelimikaje wakati hujiamini fursa upande wa kilimo bado ni kubwa sana Ila kwa mitazamo yenu hii sijui mtaishia kuajiriwa badala ya kujiajiri.
Elimu inawFanya mnakuwa waoga msioweza kujikana kwa kujaribu,vinginevyo useme elimu ya ujasiriamali hamuielewi mnaiona ni kama somo la kusoma ufaulu.
Boss maoni na ushauri wako ni muhimu sana, ila inabidi utambue hakuna mafanikio bila kianzio sahihi, elimu yetu ni muhimu sana lakini inahitaji pa kutokea ili ikufikishe kunako.

Sio kweli kuwa tunapenda kuanzia juu, chini yetu ndo hii tunatafuta watu wakutuamini zaidi, kitendo cha kukaa nikagundua kuwa Jf ndani ya uzi huu naweza nakafikisha wazo langu na likaonwa na watu sahihi ni elimu tosha ndo imeniongoza.

Vijana tunao ujuzi wa kutosha kufanya kitu kijaonekana lakini tunakosa misingi ya kuonyesha ujuzi wetu na kuaminika, dhana mbaya zaidi iliyopo ni kwamba watu wengi waliojahaliwa uwezo wa kutoa suport au ushirikiano ili tuanze nao chini wanaamini kwenye majina (Status, umefanya nini before?) kama huna jina kubwa before inakuwa ngumu kueleweka haijalishi una wazo zuri kiasi gani, anahitaji akukute tayari umefanya kitu. Tunashindwa kukumbuka kwamba hata hao wenye CV kubwa kuna sehemu walianzia watu waliaamini na wakatoka.

Hii dhana kwakweli inatupa changamoto kubwa.
 
Boss gharama za kupima udongo hazipo straight forward, zinatofautiana kulingana na vitu vikuu vifuatavyo; aina ya upimaji itakayotumika, idadi ya sampuli, idadi ya parameter za kupima pamoja na
maabara itakayotumika.

(1). Aina ya upimaji;

(2). Idadi ya sample;
Sample zinaweza kuwa nyingi au chache kulingana na zao linalolengwa kulimwa (ya muda mrefu eg. Miti ya matunda, chikichi, korosho n.k au mazao ya msimu mfano maharage na mahind) lakini pia utofauti wa udongo katika sehemu za shamba husika ( variation); shamba lenye variation kubwa sample ztakuwa nyingi tofauti na linalofanana.

(3). Parameters za udongo zinazokusudiwa;

Hizi zinahusisha elements muhimu za virutubisho katika udongo kama vile total N, soluble P, exchangeable K
pamoja na pH n.k ambazo humsaidia mtaalamu kufanya hitimisho na ushauri wa jumla juu ya rutuba ya udongo wako.

(4). Maabara itakayotumika.
Tuna wet chemistry lab mfano SUA Morogoro pamoja na dry chemistry lab mfano Selian Arusha. Gharama za upimaji kwa sample zinatofautiana kwa kila maabara
Mafano kwa SUA kupima N, P, K na pH inacost Tsh. 22,600/= per sample.

NB: Maamuzi sahihi kuhusu; aina gani ya upimaji itumike?, idadi ya sample ngapi zichukuliwe?, parameter gani zipimwe na maabara gani bora? Na ushauri wa jumla juu ya udongo wa shamba lako hutolewa kwa ufasaha na mtaalamu baada ya kulitembelea shamba na kuona halihalisi kulingana na utaalamu na uzoefu wake.

Kwa ushauri zaidi karibu PM au 0758121634.
Well! Neat explanation
 
Mkuu njia uliyo tumia kuji market ni old school, ya zamani!

Hiki ulicho andika hapa kwenye hii post niliyo quote ungekua unatoa nyuzi za kutoa elimu kama hii usingekua na haja ya kuandika nyuzi za kuomba kazi!

Unapotoa informative posts (kama hii niliyo koti) watu wanakuona na watu watakufwata pm wemyewe!!

Hii njia yankutoa educative posts kuna jamaa alikua anaitwa "kilimomaarifa" miaka hiyo alii master kweli kweli
 
Back
Top Bottom