Mama Nehemiah
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 244
- 439
Mimi nimepanda mbegu inaitwa malkia F1 nimeambiwa nitavuna kwa miaka miwili(kwa mwaka matunda nitavuna mara 4). Sasa inamwezi na wiki moja inaendelea vizuri japo miche michache imekufa.Mkuu Mimi Nipo dar ila hayo mapapai ya kisasa ukichuma michumo mara 2 miti unachoka na hauendelei tena .nimeshaotesha sana hata ukiangalia post zangu huko nyuma .kwa sasa nina andaa miche ya kienyeji iliyoboreshwa inazaa kwa muda mrefu na ndani tunda lina rangi nyekundu inayopendwa sokoni.
Mkuu mtaalamu nilimpata sehemu nimenunua miche,ukinunua miche kwao wanakupa maarifa kuanzia kupanda mpaka unavuna.so nilimtafuta kijana akachimba machimo size inayotakiwa nikaendelea na mengine.Ukimpata mtaalamu na mimi nistue
Mbezi ya kimara karibu mkuu tulime tufukuze njaaDsm sehem gani??
Ooh so kwa ajili ya biashara aina ipi inafaa mkuu?Mipapai ya kisasa ukichuma mara kadhaa ubora wa papai unaenda ukipungua
Lima hayo hayo ukichuma mara 4 kata panda mengineOoh so kwa ajili ya biashara aina ipi inafaa mkuu?
OkLima hayo hayo ukichuma mara 4 kata panda mengine
Hongera katika hilo, papai limekuwa zao la mazoea kwa mikoa ya pwani. Ukipata expert nzuri itafaa au mkulima mzoefu. KaribuWakuu poleni na hongereni na majukumu
Nimepata wazo mahali ninapoishi nipande mipapai ya kisasa sasa nahitaji mtaalamu wa kilimo cha papai za kisasa tukubaliane(nitamlipa) aje kuangalia eneo husika na kunishauri in /out kuanzia mwanzo wa upandaji mpaka pale nitakapovuna.
Binafsi nimeshaanza kukusanya maarifa ya hapa na pale lakini nataka mtaalamu wa kuniongoza (aweze kufika si kwa simu) kabla sijaweka miche ardhini.
Tafadhali karibu Pm tuyajenge kaeneo kapo Dar
Mshana JrWakuu poleni na hongereni na majukumu
Nimepata wazo mahali ninapoishi nipande mipapai ya kisasa sasa nahitaji mtaalamu wa kilimo cha papai za kisasa tukubaliane(nitamlipa) aje kuangalia eneo husika na kunishauri in /out kuanzia mwanzo wa upandaji mpaka pale nitakapovuna.
Binafsi nimeshaanza kukusanya maarifa ya hapa na pale lakini nataka mtaalamu wa kuniongoza (aweze kufika si kwa simu) kabla sijaweka miche ardhini.
Tafadhali karibu Pm tuyajenge kaeneo kapo Dar
πππMkuu mtaalamu nilimpata sehemu nimenunua miche,ukinunua miche kwao wanakupa maarifa kuanzia kupanda mpaka unavuna.so nilimtafuta kijana akachimba machimo size inayotakiwa nikaendelea na mengine.
Nadhani naweza kusaidia kwa hilo text me WhatsApp 0765113160