Mtaani kuna pesa nyingi sana inayotafuta wahitaji

.....unataka kutuambia ni mahindi tu, ndio yenye uwezo wa kumfanya mtu atoboe na asiwaze vidaraja?....hongera, lakini kumbuka kuna watu wanafanya deal nyngne wanapata mafanikio na kufelia pia. So, kama lengo lako ni kutufunza uthubutu umefanikiwa kwa asilimia 90. Lakini kama lengo lako ni kutuaminisha utajiri upo hapo, binafsi najiweka pembeni kama 20percent. Afterall,....fursa hutegemea mahitaji, mazingira, n.k,pengine huko uliko mazingira yamekuleta kwenye neema ya mahindi ya kuchoma.
 
Vitu kuviandika ni rahisi sana kama kunywa maji,utekelezaji wake ndio shuguli,kwa maandiko haya kila mtu angekua tajiri
 
Biashara sio kama siasa...kuwa kila unachotaka kinakuwa na kutokea, inahitaji muda, uvumilivu na subira kutengeneza wateja na faida
# achana na kasumba za waajiriwa wanaowahimiza mjiajiri wakati wao wameajiriwa...ukiamua kupambana na kujiajiri ingia ukijua sio lelemama na sio kila siku faida itatokea asee.
Nawatakieni jioni njema
 
Biashara ya kwenye daftari hainaga hasara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utakuwa uko frustrated na kadigrii wewe kachape kazi pesa ipo, jifunze uthubutu.
siwezi Kuwa frustrated na kadegree haka kwa kuwa nimekulia mtaani na kazi ngumu nazimudu ndo zinaniweka mjini,kadegree kapo kwenye begi mkuu nasubiri foleni isogee
 
Naona unatengeneza Million 1.8 kwa siku 20 hongera sana
 
Acha kuleta elimu yako ya CBE au TIA virtual na real ni vitu tofauti sana .
 
Hahah umeanza kumuunga mkuu, vizuri sana..
Kesho tuanze kwenda shambani au wewe huzitaki 1,800,000/=
 
Hizo ni hesabu za kwenye makaratasi hazina tofauti na hesabu za kilimo cha tikiti ila ukija kwenye uhalisia hamna kiti
 
Mara nyingi biashara ndogondogo huwa zinalipa lakini biashara hizi hazipo constant kwamba Kama leo umepata Tsh ..... na kesho au siku zijazo utapata kiasi hichohicho.

Biashara inapima uvumilivu hususani pale unapoanza kuna
i/ kutokujulikana
ii/ changamoto za usafirishaji wa mahindi (kuna changamoto hasa wakati wa Asubuhi mjasiliamali kupanda kwenye daladala na kipeto/kiroba wakati kondakta anataka abiria wajae.;;;;;;;; ukisikia kupambana kupo hapa)
iii/ mahindi kubaki
iv/ kupata mahindi ambayo ni mateta sana au yameanza kukauka

Si kwamba napinga jamaa alichokisema, inategea Sana yupo kwa muda gani katika Game, yupo site ipi pia customer care kwa wateja
 
Utajiri wa kwenye makaratasi....

Ushawauliza wanaochoma na kuuza hayo mahindi mabichi na wakakupa hizo data na faida yake?
Nasikia kuna waosha magari huko Posta wanaingiza more than a million per mwezi.
 
Za kwenye makaratasi zinafika maana huwa hazina emmergency wala hakuna kupotea....

Kiuhalisia wao ndio wanaojua zaidi.,
Sawa mkuu

Sema kinachonishangaza waandishi wa zile tarakimu za kwenye makaratasi huwa hawaendi kufanya yale wanayoyahubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…