sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
1. Kama Mkuu wa Kituo cha PolisI anaweza shirikiana na wenzake wakaiba hela kisha wakamuua kabisa mtu,
2. Mfanyabiashara aliefariki "Kwa kujupiga risasi" anakwambia polisi alimpigia afisa wa TRA akimwambia "Njoo kuna deal kubwa", na afisa akaja akiwa kavaa pensi na ndala akiongozana na askari wengine wawili, hiyo ni usiku mkubwa. Wakataka millioni 2, alipokataa wakasema watamuonesha, na kweli wamemuonesha.

- Sasa huu sio ujambazi?
- Wapo wangapi wa aina hiyo katika sekta mbali mbali za serikali?
- Hili suala hadi Rais Magufuli alitoa agizo kuwa mfanyabiashara alipwe, Waziri Mkuu analifahamu, kwanini haikua hivyo? Nani yuko nyuma yake?