Mtaani kunahitaji elimu, uchawi ama upambanaji?

Master mjehe

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
77
Reaction score
84
Wajamvi polen. Na majukum.

Ndugu yenu napitia changamoto hasa katika harakat za utafutaji unapambana sana lkn mwisho wa siku asbh unamka unajikuta huna hata sent ya kuanzia siku hiyo ,hadi unatamn usiku uendelee tu.

Mwisho wa siku najiuliza ili ufanikiwe katika haya maisha ni misingi ipi uizangatie either uloge sana ,ama upambane sana ama uwe mcha Mungu sana ama ni kipi wadau?

ukiwa unapitia huu uzi ukitupia hata buku tano wazee mkulungwa wenu niishi itakuwa sio vibaya.
 
Sifahamu kwanini uyakisie maisha kwa kuhusisha yote hayo kwenye maisha yako ya kila siku?

Una maana Mwenyezi Mungu wako aliyekuumba hakukupa mwongozo wa maisha?

AlhamduliLlah, nimezaliwa na kukulia katika Uislam. Uislam umetupa A to Z ya maisha na hatuna haja ya kukisia namna ya kuishi.
 
Pole kwa unayopitia, mafanikio yanahitaji juhudi zako binafsi za upambanaji, swali la kujiuliza ni wapi hela zinaishia zote hadi asubui unaamka huna hata ya nauli kama jana ulipata? Ziba mianya ya matumizi ya pesa ambayo sio ya lazima.

Tumia zote, weka akiba zote bakisha buku. Hii buku ndio ya kuamka nayo ukapambane tena inapoanza siku mpya.
 
Mfano umenikopesha 5000 nikakurudishia 500 bado utaendelea kunidai hiyo 0 ambayo sijamalizia? Anyway sijaamka poa mfukoni chukua 50 upate japo kalmati hizo 00 nisikilizie baadae kuna mchongo nausikilizia,ukitiki utacheka mkulungwa!
 
Wajamvi polen. Na majukum.

Ndugu yenu napitia changamoto hasa katika harakat za utafutaji unapambana sana lkn mwisho wa siku asbh unamka unajikuta huna hata sent ya kuanzia siku hiyo ,hadi unatamn usiku uendelee tu.

Mwisho wa siku najiuliza ili ufanikiwe katika haya maisha ni misingi ipi uizangatie either uloge sana ,ama upambane sana ama uwe mcha Mungu sana ama ni kipi wadau?

ukiwa unapitia huu uzi ukitupia hata buku tano wazee mkulungwa wenu niishi itakuwa sio vibaya.
Toa zaka kila unachopata, milango itafunguka
 
Kwanza unamuhitaji Mungu atangulie mbele yako. Halaf maarifa yako na huo upambanaji ,sio tu ndio ufuate next, bali hustle zako uzi incorporate into God's ways, then stay focused huku ukijua Mungu anapambana pamoja na wewe. Sio wewe peke yako wala sio yeye peke yake.

Zaburi 119:105
"Neno lako ni taa ya miguu yangu na mwangaza wa njia zangu".

Uchawi hauwez kukusaidia na kukupa raha.
Baraka ya Mungu katika hustle zako hainaga majuto.

Mapambano mema.
 
Sifahamu kwanini uyakisie maisha kwa kuhusisha yote hayo kwenye maisha yako ya kila siku?

Una maana Mwenyezi Mungu wako aliyekuumba hakukupa mwingozo wa ma9isha?

AlhamduliLlah, nimezaliwa na kukulia katika Uislam. Uislam umetupa A to Z ya maisha na hatuna haja ya kukisia namna ya kuishi.
Ukitushirikisha hayo maarifa itakuwa jambo jema
 
Sifahamu kwanini uyakisie maisha kwa kuhusisha yote hayo kwenye maisha yako ya kila siku?

Una maana Mwenyezi Mungu wako aliyekuumba hakukupa mwingozo wa ma9isha?

AlhamduliLlah, nimezaliwa na kukulia katika Uislam. Uislam umetupa A to Z ya maisha na hatuna haja ya kukisia namna ya kuishi.
Unajidai sana na imani yako.Inabidi nifanye mpango uwe myahudi hata kwa wiki mbili tu.🤔
 
sina uhakika kufanikiwa kwa upande wako kupoje(yaani ili uone umefanikiwa uwe na nini hii inatofautiana baina ya mtu na mtu)
ila as long as unapata chakula bila kujali kwa kuomba,kuzulumu au vyvyte....we endelea kupambana mengine yanakuja ila mudaa tu ndio bado
NB: hakuna cha zaidi ya kupambana,pambana sana kila opportunity itumie kikamilifu
mfano mi nilipata m,azoea na dada wa stationary,bas ile kwangu ilikua opportunity kila siku nilikua na uhakika wa buku mbili..yani kila nafasi hata iwe ndogo vp usiache
halaf muda ukifika utashangaa kila kitu mtelezo
pole sana kwa changamoto
@kilalaheri
 
Kama una Imani basi usiache kumuomba Muumba wako, kila kunapokucha na unapoenda kulala. Maisha pamoja na juhudi, maarifa huwa naona bahati inahusika pakubwa pia. Pole kwa unayoyapitia, usikate tamaa. Hayo yote yana mwisho. Iko siku yako utapata hitaji lako.
 
Back
Top Bottom