Mtaani kwako Bajaji inalaza bei gani kwa siku?

Hahahaa geita huko sawa kwanza hazipo nyingi kama mjin hapa ,hapa mjini ndugu yangu bajaj nyingi hadi zinataka kuwazid watu hiyo 20,000/ yenyewe kuipata mnavutana na dereva hatari.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]eti zinataka kuwazidi watu
 
Trust me bro. Madereva bajaj wanaupiga mwingi sana. Take it from me kama ukiweza kuiendesha bajaj yako mwenyewe, asee hela ipo.
Mkuu wote mko sahihi kwa uwelewa wangu mimi.
Kupata hela nyingi ama ndogo inategemea na location uliopo.
Kuna sehemu nyingine bajaji ziko nyingi mno kuliko abiria kwa hiyo ukifika kijiweni inabidi upange foleni masaa 2 hadi zamu yako ifike ndipo upakie watu 4 ambapo utapata 2000 au 4000 kutegemea umbali wa ruti.
Kwa maana hiyo ukipakia mara 5 au 6 siku imeisha vinginevyo ukeshe usiku.
 
Natak niingie kwenye boda na TVs domo la mamba

Wazoefu ulaji wake wa mafuta ukoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…