KERO Mtaani kwako kuna maji?

KERO Mtaani kwako kuna maji?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mtaani kwetu tunahaha na maji ya visima kama waIsraeli walivyotangatanga jangwani
 
Serikali za CCM zinachoweza ni warsha, kujengea wastaafu majumba mapya wakati wana mijumba lukuki, kununua magari mapya kila mwaka, safari za nje zisizo na tija, kuteua kutengua, lakini mambo ya maana kama kutatua kero za maji kwa wananchi hawawezi
 
Nakuliza wewe mwana jf maana maji yamekuwa dhahabu, kupatikana wa nadra hapa Tanzania hususan Dar es salaam?

USSR
Yani hii nchi yetu bado sana Kila kitu kipo nyuma...wewe fikiria jiji kubwa Kama dar maji yanakuwa ya shida mpka week mbili hayatoki vipi huku vijijini ndanindani?.....alfu wanasema anaupiga mwingi
 
Baadhi ya sehem dwaswam waliingia mtego wa dawasa visima vya watu vingine wakavifunga wakidai wanaunganisha na maji yao nyambafu kuna sehem mpaka leo wanajuta kuwaruhusu
 
Back
Top Bottom