Mtaani kwako soda wanauza shilingi ngapi?

Mtaani kwako soda wanauza shilingi ngapi?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Zile za chupa ya glasi ambazo sio take away kwasasa ni sh ngapi? Huku kwetu baadhi ya maduka wanauza 800, je ndio anaupiga mwingi?
 
Kwetu 1000 na zinagombaniwa balaa,tutakunywa tu sa tufanyeje?
 
Hizo Bei mnazozitaja hapo juu Ni mls ngapi maana huku Zanzibar 600mls Ni 1200 tzs kwa kila soda
 
Back
Top Bottom