Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Siye 600Zile za chupa ya glasi ambazo sio take away kwasasa ni sh ngapi? Huku kwetu baadhi ya maduka wanauza 800, je ndio anaupiga mwingi?
Niliacha kunywa soda kitambo sanaZile za chupa ya glasi ambazo sio take away kwasasa ni sh ngapi? Huku kwetu baadhi ya maduka wanauza 800, je ndio anaupiga mwingi?