Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Kweli hii ni maajabu. Vocha iliyoandikwa Tsh. 500 imeanza kuuzwa kwa Tsh. 700 Je, huu ni uungwana, la hasha huu si uungwana. Najaribu kujiuliza kuwa ongezeko hilo la bei limeanzia kwenye viwanda vya kuchakata vocha ama ni wafanyabishara wanafanya yao?
Kama hamuhitaji tutumie vocha, basi fungeni viwanda ili tuanze kutumia apps zenu pamoja na miamala. Mnatupeleka puta ndugu zanguni
NB: Mitandao yote ikiwemo TTCL
Pia soma
Kama hamuhitaji tutumie vocha, basi fungeni viwanda ili tuanze kutumia apps zenu pamoja na miamala. Mnatupeleka puta ndugu zanguni
NB: Mitandao yote ikiwemo TTCL
Pia soma