Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
hili nalo nendeni mkaliangalieKweli hii ni maajabu. Vocha iliyoandikwa Tsh. 500 imeanza kuuzwa kwa Tsh. 700 Je, huu ni uungwana, la hasha huu si uungwana. Najaribu kujiuliza kuwa ongezeko hilo la bei limeanzia kwenye viwanda vya kuchakata vocha ama ni wafanyabishara wanafanya yao?
Kama hamuhitaji tutumie vocha, basi fungeni viwanda ili tuanze kutumia apps zenu pamoja na miamala. Mnatupeleka puta ndugu zanguni
NB: Mitandao yote ikiwemo TTCL
Sasa mkuu; mfanya biashara mdogo (mwenye kibanda) atoke huko e.g. kijijini Kitelewasi aende mpaka Mafinga mjini (10km)anunue vocha za jumla tuseme za 20,000/= halafu arudi Kitelewasi akakuuzie kwa 500/=? Mbona usiende ww mwenyewe ukazinunua huko Mafinga kwa 500/= kila moja?Kweli hii ni maajabu. Vocha iliyoandikwa Tsh. 500 imeanza kuuzwa kwa Tsh. 700 Je, huu ni uungwana, la hasha huu si uungwana. Najaribu kujiuliza kuwa ongezeko hilo la bei limeanzia kwenye viwanda vya kuchakata vocha ama ni wafanyabishara wanafanya yao?
Kama hamuhitaji tutumie vocha, basi fungeni viwanda ili tuanze kutumia apps zenu pamoja na miamala. Mnatupeleka puta ndugu zanguni
NB: Mitandao yote ikiwemo TTCL
Pia soma