Mtafsiri wa Lugha wa mtume mwamposa mbona Haujui vizuri kiibgereza

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
887
Reaction score
2,010
Habari.

Mtume mwamposa naomba amtazame kwa upya yule dada anayetafrsi lugha.

Ana kiingereza cha ovyo sana.

Ameanza nae muda mrefu sana ila haonyeshi kuboresha lugha yake.
 
Ni kweli uko sahihi
Atafute wengine Mahubiri yake yako kwenye satellite dunia nzima huona.Asiwe abahili atafute wakalimani wazuri awalipe vizuri wafanye hiyo kazi

Hao wa sasa hamna kitu

Au aombe Askofu Maboya ampe wakalimani ana wa kwake wazuri sana wengi tu japo hayuko kwenye satellite au TV
 
Hawezi kuwaacha kwa sababu wana upako.

Ukiona mtu ana hela nyingi kushinda wewe tafsiri yake ni kwamba mtu huyu ana akili nyingi kushinda wewe. Mwamposa ana pesa nyingi kushinda wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kushinda wewe..

Sio mjinga kuwatumia watafsiri hao..
Wana nyota. Wana upako
 
Mwamposa anashindana na azam kwa sasa maana sio kwa bidhaa zake kwa jina la biashara ni upako.
Huyu tapeli yani sijui yupo pamoja na Bi kindege
 
Hawezi kuwaacha kwa sababu wana upako.

Ukiona mtu ana hela nyingi kushinda wewe tafsiri yake ni kwamba mtu huyu ana akili nyingi kushinda wewe. Mwamposa ana pesa nyingi kushinda wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kushinda wewe..

Sio mjinga kuwatumia watafsiri hao..
Wana nyota. Wana upako
Hakuna mtu anabeza upako
Mwamposa yuko anga za kimataifa sababu Mahubiri yake yanasikika popote duniani kupitia TV zenye kurusha mahubiri kwenye satellite yanayoonekana popote duniani ni vizuri apate wakalimani wazuri

Sio kesi ni ushauri Mwamposya yuko huru kuukubali au kuukataa
 
Nope tunawataka wale wale ndo wana upako tumewazoea.

" Apostle kuna muujiza hapa"
 
Habari.

Mtume mwamposa naomba amtazame kwa upya yule dada anayetafrsi lugha.

Ana kiingereza cha ovyo sana.

Ameanza nae muda mrefu sana ila haonyeshi kuboresha lugha yake.
kwanini asimpe Mafuta ya upako anywe kiinglish kipande vyema?.
 
Hakuna mtu anabeza upako
Mwamposa yuko anga za kimataifa sababu Mahubiri yake yanasikika popote duniani kupitia TV zenye kurusha mahubiri kwenye satellite yanayoonekana popote duniani ni vizuri apate wakalimani wazuri

Sio kesi ni ushauri Mwamposya yuko huru kuukubali au kuukataa
Asinge tumia Tv na setelite kama yanasikika pepono. Maana hata galama ya vifurushi na habari nape hawafahamu
 
Nope tunawataka wale wale ndo wana upako tumewazoea.

" Apostle kuna muujiza hapa"
Huko nchi je

Tanzania hatuhitaji kingereza
Mwamposya akiongea tunaelewa tatizo hao mataif mengine matumia na majua kingereza tu yaliyoko Tanzania na nje ya Tanzania ambako TV huonekana

Au kuna wazungu wangapi walioko Tanzania wanaoangalia hiyo TV wanakuja kanisani? Ukalimani mzuri sio kitu cha kudharau

Tunaongea kwa roho nzuri tu kujenga sio kubomoa

Sababu kazi ya karma yeyote ni kujenga sio kubomoa ikiwa ya kubomoa hiyo imetoka kwa shetani
 
Kuna mmoja anaitwa Prophet Kakande wa Uganda. Ana mkalimani wake wa kike akiongea utadhani anaingiza komedi, kumbe ndio anaongea.
 
Hawezi kuwaacha kwa sababu wana upako.

Ukiona mtu ana hela nyingi kushinda wewe tafsiri yake ni kwamba mtu huyu ana akili nyingi kushinda wewe. Mwamposa ana pesa nyingi kushinda wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kushinda wewe..

Sio mjinga kuwatumia watafsiri hao..
Wana nyota. Wana upako
Umeandika utumbo.
 
Habari.

Mtume mwamposa naomba amtazame kwa upya yule dada anayetafrsi lugha.

Ana kiingereza cha ovyo sana.

Ameanza nae muda mrefu sana ila haonyeshi kuboresha lugha yake.
Unafikiri kutafsiri lugha ya kiblia ni kazi rahisi?

Wewe unaweza kusoma Biblia ya kiswahili na maneno mengine usielewe ndio sembuse mkalimani?

Cha muhimu zaidi msg delivered.
 
Back
Top Bottom