Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tena wote wawili,, wakike na wakiume😆😆
Hakuna mtu anabeza upakoHawezi kuwaacha kwa sababu wana upako.
Ukiona mtu ana hela nyingi kushinda wewe tafsiri yake ni kwamba mtu huyu ana akili nyingi kushinda wewe. Mwamposa ana pesa nyingi kushinda wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kushinda wewe..
Sio mjinga kuwatumia watafsiri hao..
Wana nyota. Wana upako
Nope tunawataka wale wale ndo wana upako tumewazoea.Hakuna mtu anabeza upako
Mwamposa yuko anga za kimataifa sababu Mahubiri yake yanasikika popote duniani kupitia TV zenye kurusha mahubiri kwenye satellite yanayoonekana popote duniani ni vizuri apate wakalimani wazuri
Sio kesi ni ushauri Mwamposya yuko huru kuukubali au kuukataa
kwanini asimpe Mafuta ya upako anywe kiinglish kipande vyema?.Habari.
Mtume mwamposa naomba amtazame kwa upya yule dada anayetafrsi lugha.
Ana kiingereza cha ovyo sana.
Ameanza nae muda mrefu sana ila haonyeshi kuboresha lugha yake.
Asinge tumia Tv na setelite kama yanasikika pepono. Maana hata galama ya vifurushi na habari nape hawafahamuHakuna mtu anabeza upako
Mwamposa yuko anga za kimataifa sababu Mahubiri yake yanasikika popote duniani kupitia TV zenye kurusha mahubiri kwenye satellite yanayoonekana popote duniani ni vizuri apate wakalimani wazuri
Sio kesi ni ushauri Mwamposya yuko huru kuukubali au kuukataa
Huko nchi jeNope tunawataka wale wale ndo wana upako tumewazoea.
" Apostle kuna muujiza hapa"
Umeandika utumbo.Hawezi kuwaacha kwa sababu wana upako.
Ukiona mtu ana hela nyingi kushinda wewe tafsiri yake ni kwamba mtu huyu ana akili nyingi kushinda wewe. Mwamposa ana pesa nyingi kushinda wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kushinda wewe..
Sio mjinga kuwatumia watafsiri hao..
Wana nyota. Wana upako
SawaUmeandika utumbo.
Unafikiri kutafsiri lugha ya kiblia ni kazi rahisi?Habari.
Mtume mwamposa naomba amtazame kwa upya yule dada anayetafrsi lugha.
Ana kiingereza cha ovyo sana.
Ameanza nae muda mrefu sana ila haonyeshi kuboresha lugha yake.