Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linus nipo hapa,Naitwa linah namtafuta linusView attachment 1649708
Kwa kiswahili inasomwa linus hiyo nimeandika kwa kispanish[emoji2] We unaitwa nafaka[emoji2][emoji2][emoji2][emoji847][emoji847]
We si nyambiti wewe..?Naitwa cassiana namtafuta cassian
😂😂😂😂 Usinipe jina la mitishamba mieWe si nyambiti wewe..?
Ngoja mizimu ya kwenu ije ichachamae utalijua mpk la babu yako mang'oma..🤣😂😂😂😂 Usinipe jina la mitishamba mie
🤣🤣🤣🤣🤣Ngoja mizimu ya kwenu ije ichachamae utalijua mpk la babu yako mang'oma..🤣