Nguvu ya Ajabu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 546
- 451
Shafii Dauda ni mchambuzi wa soka ambae yuko negative sana na soka la Tanzania especially Simba. Tangu simba walipoanza kushiriki michezo ya clabu bingwa mwaka huu, amekuwa akitoa maneno ya kuonyesha kuwa simba ni mtoto mdogo na hafiki mbali, huku akizisifia team pinzan.
Bahat nzuri kila mara simba wamem prove wrong lakin hakat tamaa. Hata mech ya Leo alisema wazi kuwa simba ni underdog na lazima wafungwe. Lakin wamem prove wrong na wameonyesha soka la nguvu kiasi ambacho vita wenyewe hawajaamini.
Nina uhakika, hata hii robo fainali simba wakipangwa na team yoyote bado shafii Dauda atatoa nafasi kwa team pinzani wakati sisi tunaona wazi kabisa kuwa this time simba wanafika nusu fainali.
Sasa mtu yeyote atakaesoma Uzi huu na ana uwezo wa kumpata shafii Dauda, amtafute na kumpa salam zake. Amwambie tu maneno matatu
'THI IS SIMBA' au akitaka amwambie '' Utateseka sana mwaka huu''
Hilo tu basi linamtosha. Hakuna haja ya kubishana nae..
Sent using Jamii Forums mobile app