Mtafute uliyepotezana naye kwa mda mrefu

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Wakuu,
Kama kuna mtu umepotezana naye na huna njia yoyote ya mawasiliano,hebu mtaje jina,kama yupo JF labda ukimtaja kwa jina halisi anaweza akaku-PM,pia unapomtaja jina inasaidia wengine kumpata,hata search engines zingine kama google zinaweza kumleta direct JF kama ni mtumiaji wa internet,
Tuna marafiki kibao tuliosoma nao,tulioishi nao mtaa mmoja,kama kuna ambaye ulipotezana naye Andika jina lake,labda anafanya kazi/soma na memba yeyote wa JF so itakusaidia kumpata.

Upande wangu namtafuta

1.Cleopha Baynit (nimesoma naye o-level)
2.Agness Peter Janka(A-level)
3.Neema Antony,majina mengine anajiita Neema Nnko au Ney Kagashe(tulipoteza Manyara 2005)
4.Kighenda Nikson
5.Faustin Safari
6.Eamanuel Yamet
7.Sungura Frank
8.Emmanuel Ngwangu
9.Phina Tomas
10.Babueli Temu
11.Vicky David
12.Ashura Ramadhan

kama wapo hapa JF naomba wani-PM tuwasiliane jamani,Miss u much
 
Mi Namtafuta GABRIEL COSTANTINE MUSHI mara ya mwisho alikuwa anasoma chuo cha Ardhi insitute Dar kama yupo humua au rafiki yake Nipm unipe Contact zake Asante.
 
Namtafuta Arafati Tengeneza.
Alikuwa Boyfriend wangu enzi nasoma Mtwara na yeye akisoma Chidya Boys Secondary School, a.k.a CHIBOSECO Masasi.
Nasikia uko Dar....nitafute, kwani ahadi yetu ya kuoana bado iko palepale.
Japo utanikuta screpa, lakini kumbuka mavi ya kale hayanuki.
 
Ni kweli Madame B mi sikupata bahati hiyo kivile nilisoma na wanaume wenzangu full ugumu.

Hahahaaa bily si unajua tena....najihami kwa mchumba wa kale.
Ila mapenzi ya shule yalikuws matamu sana.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa bily si unajua tena....najihami kwa mchumba wa kale.
Ila mapenzi ya shule yalikuws matamu sana.

Mapenzi ya shule matamu,ila tatizo unaweza kukuta kashaoa
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo mpenzi wako ulikutana nae wapi Madame B.

Mie mpenzi wangu nilikutana nae kipindi nilipoenda kusalimia kaburi la marehemu baba kule nyumbani Lushoto.
Niko nae mpaka leo.....ila Arafat, mhhhh.......alinionjesha utamu wa dunia kabla.
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi ya shule matamu,ila tatizo unaweza kukuta kashaoa

Hapo ndo shida.
Ila poa tu, kama bado mapenzi kwake yatakuwa bado yapo.....kuwa kidumu kunahusika kwa 80%
 
Hongera sana Madame B muambie ajitahidi kuna 6 x 6 wadau wasije wakafanya mapinduzi aha aha natania eti.

Mie mpenzi wangu nilikutana nae kipindi nilipoenda kusalimia kaburi la marehemu baba kule nyumbani Lushoto.
Niko nae mpaka leo.....ila Arafat, mhhhh.......alinionjesha utamu wa dunia kabla.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Madame B muambie ajitahidi kuna 6 x 6 wadau wasije wakafanya mapinduzi aha aha natania eti.

Hahahaaaaaa.........
Aisee weweeee bily.
Hivi wewe unakataga mauno kwenye 6 x 6?...lolesttt!!!!!
 
Last edited by a moderator:
natafuta wanawake niliozaa nao wakati niko a level shinyanga mjini.....
 
ahaa Madame B ila utamu ukizidi unakuta unakata tu automatically bila kujua.

Mbona wanasema mwanaume kukata mauno kitandani ni dalili ya ushoga bily?
Mauno tuachieni sie wanawake.
Je, Kuna ukweli hapa?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli Madame B ila Siyo kukata dizaini ya yule mwanamuziki bob jr hapana ila si unaona mtu anapotaka kufunga bao anaongeza manjonjo basi ndio hilo naongelea hapa

Mbona wanasema mwanaume kukata mauno kitandani ni dalili ya ushoga bily?
Mauno tuachieni sie wanawake.
Je, Kuna ukweli hapa?
 
Last edited by a moderator:
Joyce Buberwa, nilisomaga nae Computer Course , 2005, baada ya kumaliza form 4, daah alikuwa mdau wangu sana, kama yupo aniPM aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…