Sijawahi shawishika kabisa humu. Watu wana guts za ku flirt humu dah!🤭🤣🤣
Vijana wa wanataka connection
Una tabia za kike wewe. Punguza uchawaMimi ninamchukia sana Lissu.
sio ku flirt tu hadi kukulanaSijawahi shawishika kabisa humu. Watu wana guts za ku flirt humu dah!🤭
We hongera zenu ... mko njema sana.sio ku flirt tu hadi kukulana
Daaah mkuu swali zuri..Poor Brain hii harakati yako ya mishangazi ipo fueled na uraibu ulionao juu yao au basi tu ni hobby? 🤣
Lucas Mwashambwa weka siasa pembeni, sema tu kitu kimoja ambacho unachokikubali kuhusu Tundu Lisu
😂😂haszu wewe ndio usingizi wa masela, uwaridi la wahuni. a beatiful boy.