changula jr
Member
- Jan 26, 2019
- 9
- 3
Habari wana JF mm ni mwanafunz wa mchepuo wa sanaa HKL natarajia kufanya mtihn wa kuhitimu kidto cha sita mwaka huu mwez 5, napenda kuwa mwanasheria...
Ushauri plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri plz
Sent using Jamii Forums mobile app