Habari wana JF mm ni mwanafunz wa mchepuo wa sanaa HKL natarajia kufanya mtihn wa kuhitimu kidto cha sita mwaka huu mwez 5, napenda kuwa mwanasheria...
Write your reply... Safi Sana, Duniani Hakuna Degree Yenye Heshima Kama Sheria, Fanya Pepa, Piga One Yako Kali 3-9, Apply
UDSM
Mzumbe
Rucu
Saut
Kwa Diploma I.J.A Is The Best,, Karibu Mkuu #lawyer_in_making