Mtajaza Wenyewe!!!!!!!!!!!!!!

Ndo sherehe ya nini hapa...Ilikuwa ni Maulidi ya wadogo zako nini shekhe?
 
Heee wewe ndo yupi hapo?...naona hii studio ilikuwa bab kubwa.
 
Ivi ni kesho JK atakuwa anahudhulia sherehe ya walimu uko Songea nakumbuka Slaa alitoa angalizo juu ya iyo sherehe
 
Heee wewe ndo yupi hapo?...naona hii studio ilikuwa bab kubwa.

Niko kulia na huyo kushoto ni my childhood sweetheart....sasa hivi ni mke wa mtu...mumewe Kanali wa Geshi.....''jojina habari gani ulikooo''
 
ahahahaha.......u luk so gud kaka and gogina alikua shy eeh?..nimependa viatu vyake..:tonguez:
 
naona ni enzi za mwalimu hizo, Tanzania hakuna mgodi wala nini, lakini elimu bree, matibabu bree, ni raha iliyoje, noja Slaa aje atukumbushe enzi
 
naona ni enzi za mwalimu hizo, Tanzania hakuna mgodi wala nini, lakini elimu bree, matibabu bree, ni raha iliyoje, noja Slaa aje atukumbushe enzi

Tulikuwa tunakaa Railway quarters...nguo zote duka la ushirika batiki...hapo ni Railways Club gerezani siku hizi sijui Paradise nini vile...
 
cmz mlikua mnapendana hadi mnavaa sare?au cha wote?...........mi ckuepo bwana.
 
sasa mbona kama mmefanya vice versa... bibi fuull ma shy kashika kiuno bwana umeshika mabega ulitakiwa ukamate kiuno mzee.... hahahahahahaha ila inaelekea ulikigundua kipaji chako papema... at that AGE.. tayari ushaanza kuangusha mojamoja na vibinti duh.
 
kuna post zilikuwa zimenikasirisha sana ... lakini hapa nakushukuru .. nimecheka sana. naona nende nikalale sasa.
Halafu huwezi jua tofauti, wote wanaonekana vidume - except hivyo viatu vya kike
 
kuna post zilikuwa zimenikasirisha sana ... lakini hapa nakushukuru .. nimecheka sana. naona nende nikalale sasa.
Halafu huwezi jua tofauti, wote wanaonekana vidume - except hivyo viatu vya kike

Jojina amevaa blouse na sketi....jamani this was 1978....watoto enzi hizo wote ni sawa...hakukuwa na saluni wala vipodozi ndio maana tulifanana sana
 
Nitake radhi mkuu...ushamba wangu wa kutojua namna ya kuishikilia famee ni ushahidi tosha kuwa mambo nilikuwa sijayajua...
 
hahahahahah haya baba narudisha maneno yangu... ila u r eyes can explain a lot... macho makavuuuu... sijui pale ulikua unaangalia "atupokigwe" asikuone jinsi ulivyokuwa umekamatia kifaaa .... akaleta songombingo baadae.....
 
Maadili ya kiislamu hayo!
Hapo sio kweney ile disco toto la luxury pub siku ya idi?
 
Tulikuwa tunakaa Railway quarters...nguo zote duka la ushirika batiki...hapo ni Railways Club gerezani siku hizi sijui Paradise nini vile...
...Hizo ni zile enzi za yale mafuta ya manukato makali kabisa Ayu na Yolanda kwenye vimikebe vya bati. Ukijisiriba unang'aa kama jongoo!!! Wote hapo wewe na Jojina mnang'aa kwa Yolanda mkuu!!!😛reggers:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…