Mtaje mchezaji wa mpira wa miguu mwenye mafanikio zaidi ya wote.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Hapa tunaongelea makombe aliyochukua akiwa na kilabu na timu ya taifa.

Siongelei idadi ya magoli aliyofunga wala assists.

Mi nnachotaka nijue mchezaji aliebeba makombe mengi zaidi kwenye historia ya soka.

Asante.
 
1)Ryan Giggs-(36)
2)Kenny Dalglish-(34)
3)Vitor Baia-(33)
4)Zlatan Ibrahimovic-(32)
5)Dan Alves-(31)
 
1)Ryan Giggs-(36)
2)Kenny Dalglish-(34)
3)Vitor Baia-(33)
4)Zlatan Ibrahimovic-(32)
5)Dan Alves-(31)
Ryan Giggs ana medali nyingi kuliko Messi au Ronaldo?
 
Maxwell huyu mbarazili ndio ana makombe mengi official ana 37
kuna ibrahimovic
kuna dan alves
 
Ryan Giggs ana medali nyingi kuliko Messi au Ronaldo?
unashangaa au unabisha au unauliza?
Ryan Giggs ndio mchezaji kashinda mataji(trophies)nyingi than any human in earth kama ulikuwa haujui...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…