Mtaje msanii yeyote wa Hip Hop anayetokea Zanzibar

shirko, sikiliza hiyo rap yenye radha ya laga kwenye kibao cha "kuwa nawewe tu".
huyu jamaa angekazia hii style natumai angeeleweka tu aliikung'uta vizuri sana.
Your browser is not able to play this audio.
 
Rico Single ni Msanii wa Hip-hop wa muda mrefu sana Zanzibar toka 1999. Baadhi ya Nyimbo zake 'Acha waongee', 'Zanzibar ya Uchumi wa Buluu', 'Chekecha' nk. Alikuwa Mshkaji wangu sana. Amefariki mwezi uliopita. R.I.P Hip hop Legend wa Zanzibar
 
At na wenzake Offside trick walikuwa wanachana kabla hawajaanza kuimba,pia kuna msanii alikuwa anaitwa Mad max kama sikosei alitoa nyimbo na queen darlin inaitwa vitu adimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…