ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mbona wapo ambao nawapenda na siwajuiUnamchukiaje mtu usiyemjua?
Fresh tu Ni Zama za UKWELI NA UWAZI.tukikutana tutatambuanaHalafu wewe mjinga huwa unaniboa sana, moja kati ya wapuuzi nisiowapenda humu ni wewe.
We na uhakika HaKuna mwenye noma na ww.halafu Kuna ID moja ilikuwa inasomeka Kama BADILI TABIA..unaikumbuka?kama kuna mtu ananichukia atapata tabu sanaa
mi bado nadunda ndo kwanza nina miaka 11
Huyo @gentamicyne ana muandiko flani ivi wa kidwanziKuna watu wanakera Sana humu ndani.kwa michango Yao tu unaweza ukatamani asingekuwepogi.niwe mkweli tu kuna jamaa anaitwa kanungila Karim huyu jamaa sijui Kwanini damu yake na yangu hazijaendana.ashaniharibia mood yangu mara kibao.siku nikikutana naye live live kitaani nitamchezeshea vitofa mixer vitasa Kama vyote.kwa upande wa ma she Kuna huyu anaitwa miss natafuta simfagilii Wala Nini namchukia na sijui kwanini na m term Kama adui.mwingine ni huyu anajiita viatu vya samaki,wa mwisho kabisa Ni GENTAMICYNE na mwenyewe naonaga miyeyusho tu
Ni mtazamo tu washikaji msijenge chuki.na wewe mtaje mmoja tu au wawili ambao una beef nao.
imefanyaje ?We na uhakika HaKuna mwenye noma na ww.halafu Kuna ID moja ilikuwa inasomeka Kama BADILI TABIA..unaikumbuka?
Kila nikiiwaza hio ID sijui Kwanini nakuwaza na weweimefanyaje ?
Sema walahi?
Muanike juani
Achubuke koo?Uwe na upendo kwa jamaa.Sema walahi?
BADILI TABIA ya kweli?Kila nikiiwaza hio ID sijui Kwanini nakuwaza na wewe
Yaan Ni Kama vitu viwili vinavyokwenda sambamba
MO11
BADILI TABIA