Mtaje mtu unayemchukia humu ndani JF

Kuna jamaa mmoja maarufu sana humu SIMCHUKII NINAMSHANGAA SANA KWA NYUZI zake Ila nahisi atakuwa MCHAWI SANA na anautumia huo uchawi + uongo wake kupata kipato

anajiita MSHANA MSHANA
he he umemtaja huyu jamaa sibiri vita visivyo bunduki wala mishale bali michupichupi myekundu na mabima ya afya yanayopumua☺
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
namchukia bbade wangu sababu Nampenda sana siwezi kumuacha.[emoji41][emoji30][emoji44][emoji46][emoji1][emoji4][emoji3][emoji28][emoji38][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]

Miller niaje mzee, hivi kile kibebi chako fulani hivi kilikuwa kinapenda sana kudandia nyuzi za watu halafu mnaanza kubebishana kiko wapi siku hizi. Sikioni kabisaa........
 
Na kuthibitisha hilo hata aliyelike ni popoma mwenzako , na si ajabu hizi id zote ni zako

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa ni milembe ndio panakufaa.. acha wivu.. ndio hata leo nimenoti ID yako kesho nitaisahau nikiperuzi.. kunionyesha huna la maanala kunotiwa humu..

Sitoikiki.. eeeeh pompom u πŸ’€πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…