Mtaje mtu unayemchukia humu ndani JF

Si umesema hakuna chuki mi namtaja ni Mshana Jr coz anapenda mambo ya kishirikina kupandishana mapresha tu![emoji38][emoji38]
lkn vyengine good..
Ukimchukia mshana we utakua mwanga mshana mtu wa watu kwanza popote alipo agiza kitoko mshana nakuja kulipia
 
Kama ulivyodai, ni matunda pia.

Gaidi kwa mmoja ni mpigania uhuru kwa mwengine.

Nelson Mandela alihukumiwa kifungo cha maisha na akatumikia miaka 27 kwa ugaidi. Umesahau?

Unaamini kuwa Mandela alistahiki hukumu hiyo ya ugaidi?

Mandela alifungwa kifungo cha maisha kwa kosa la Hujuma (Sabotage) siyo Ugaidi.
 
Nikweli bhna me kuna mjitu humu siiipendi dah ilinifanya nitoweke jf miezi 3 uwezi amn ila sasa nimerudi nikiona limtu linakojoa kwenye post zangu me naenda kwake nakunya tena sio kawaida naalisha tena style ya bata niakikishe yanamfikia adi usoni mafala kweli nikiyataja hapa yatajilekebisha nayasubiri yalopote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina bifu na wewe. Tabia yako ya kuondoka kila mara kwa kisingizio eti unakwenda kuchaji simu katika ule uzi wetu huwa inanikera sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha sasa apo Kama Ni bifu weka na simu co Mimi.... Ye simu Ndio mkorofi anazimika chaji kila mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…