Mtaji 2ml Biashara gani unaweza fanya uka break through kwa haraka??

Tafuta laini ya Tigo pesa au M-pesa kinachobakia fanya kama kianzio katika account yako, utatoka mkuu.
 
bd bd usisubuthu kama ndio biashara utakayokuwa unaitegemea kwa kila kitu chako!
 
Utapata wazo zuri 2, Nipigie no 0714969208. Na kwa yeyote anaehitaji wazo la biashara.

Si uwaambie mapema kama unawachaji? Umeshapigiwa? Y hautaki weka wazi humu wakaona hata kuandika machache?
 
Inaniboa kinyama hii situation,nn maana ya jamii forum?Mtu anahitaji wazo haina maana atakuwa mmoja tu mwenye hitaji,kama una wazo andika watu wote tupate kufaham,eti nipigie nikueleze ama ni PM ndo nini sasa!!
 
Inaniboa kinyama hii situation,nn maana ya jamii forum?Mtu anahitaji wazo haina maana atakuwa mmoja tu mwenye hitaji,kama una wazo andika watu wote tupate kufaham,eti nipigie nikueleze ama ni PM ndo nini sasa!!

Wabinafsi utawajua tu.
 
Kwanza hujasema ulipo anyway ngoja nifikiri upo Dar anzisha uwakala wa mahousegirl unakuwa unawatoa mkoa unawaleta dar kisha unaweka tangazo JF kuwa una mali mpya imeingia preferably Iringa ndo wanauzika kwa bei nzuri kil kchwa unapata commission yako. Wakishindwana na boss wake anarudi kwako unamtafutia pengine na kupata tena commission. Mjini mipango.nakuhakikishia hautatumia zaidi ya laki 5 kwa biashara hii
 
Bandugu mm ni mwalimu wa shule ya msingi, nisaidieni mawazo kwa mtaji wa 2ml nitoke vipi

LABDA ITAKUSAIDIA!!!!

  • Kwanza tafuta biashara ambayo itakujenga kiakili, ambayo haitakufanya kuwa mtumwa wayo, ambayo itakupa fursa ya kuwekeza kichwa pia, OJT au OBT (ON JOB/BUSINESS TRAINING), Hii inamaana wafanya biashara huku ukijifunza kuwa mweredi zaidi. Wekeza kichwani kwanza. Benjamin Frankilin aliwahi kusema:- "if a man empties his purse into his head, no man can take it away from him. An investment in knowledge always pays the best interest."
  • Biashara nzuri ni ile inayogusa jamii, kutatua changamoto zilizopo kwenye jamii, hii yahitaji muda kidogo kufanya kautafiti, yaani ni kutafuta pengo na kulijaza ama kuwa suluhisho la changamoto.
  • Biashara nzuri ni ile ambayo itakupa passive income au Residual Income, itakayo kupa Inner Freedom, Location Freedom, Time Freedom na zaidi baada ya miaka mitatu au mitano yaweza kukupa financial freedom pia, tena ambayo yeyote aki – copy na ku-paste (kwani ni kawaida) biashara hiyo bado kwako itakuwa faida, yaani ambayo hautakuwa na choyo kumwelekeza mingine jinsi ya kufanya.
  • Tafuta Biashara ama fursa itakayokupa changamoto na kukupa ubunifu wa kupambana na changamoto hizo, kumbuka tunakua kutokana na changamoto tunazo kutana nazo kila siku, kubweteka ama kufanya kwa mazoea hakuletelezi kukua.
  • Pia ambayo itaenenda na mtaji wako, kwa kuwekeza kwanza kidogo, labda kama laki 4 kwanza na elimu (kwa gharama ndogo au bure) la namna ya kufanikiwa katika biashara hiyo la namna ya kuweka malengo na kufanikiwa. Tumia muda wa kutosha kujifunza kabla ya kutumbukiza pesa, jiridhishe kuwa hii biashara itakutoa. Abraham Lincolin alisemaga zamani – "Give me six hours to chop a tree and I will spend the first four sharpening the axe."
  • Katika karne hii ya sayansi na teknologia, fursa za biashara ziko za aina nyingi sana, ni juu yako kutafuta biashara sahihi na kuwekeza, usiangalie iliyorahisi sana au mazoea, au ambazo kila mtu anakimbilia, tafuta iliyohalali hata kama watu watakwambia ni ngumu, kumbuka wengi wanaosema biashara Fulani ni ngumu, asilimia kubwa hawajawai kuifanya, ama walisikia kuna mtu kajaribu kashindwa pasipo kujua kashindwaje, wao wanabeba bango kuwa ni ngumu, wanakuwa wanachagizwa na woga zaidi kuliko uhalisia.
  • Kila la kheri, ni PM ukiwa na swali lolote.


 

Jibu swali acha porojo..afanye biashara gani??
kujifanya kina kisoyaki wakati mwafa maskini,aya mnayoandika ata nyinyi hayawasaiddii
 
nashukuru ndugu yangu. nitafanyia kazi ushauri wako, japo ukinifafanulia zaidi itanisaidia sana

 
mhh ni biashhara nzuri ila link ya kuwapata hao housegirls ndo issue

 
Kupata jibu inategemea uko wapi na hiyo pesa umeipataje. Je,ni mkopo umepewa? upo mjini au kijijini? je,shughuli kuu maeneo hayo ni zipi? je,idadi ya watu katika eneo lako ni kiasi gani? Nashindwa kusema ufanye shughuli/ biashara gani kwa kuwa hujajieleza vizuri.biashara kwa mtaji huo zipo nyingi kama nafaka,chipsi,saruni,kilimo,maji ya kunywa,mgahawa/supu,bar/kioski,mpesa tigo pesa aitel money,boda boda hasa ukiendesha mwenyewe baada ya kazi etc hata kuwauzia waalimu nguo vitenge nk. best wishes ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…