Mtaji kiasi gani unahitajika kwa biashara ya Nguo za Mitumba.

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Habar wana jamvi kwa yeyote mwenyee information juu ya biashara ya nguo za kiume za mitumba unahitaji mtaji wa kiasi gani
 
Kuanzia laki tatu na nusu unaweza kwenda kuchukua BALO moja la nguo!
 
Kuanzia laki tatu na nusu unaweza kwenda kuchukua BALO moja la nguo!

Nahitaji nipate nguo nzur za kiume suruali na mashati ya ukweli jee kwa hela hyo waweza pata kweli balo la ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…