Mtaji kiasi gani unatosha kuanzisha mradi wa kufyatua Matofali?

Mtaji kiasi gani unatosha kuanzisha mradi wa kufyatua Matofali?

ignas kinunda

Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
22
Reaction score
2
Wana jamii Wana mabadiliko naombeni kujua mweny utaalamu na biashara ya tofali it means uwe na sehem, mashine na works kwa kufyatua na kuuza mtaji ni kama shiling ngap?? Thnx
 
subiri wanakuja, tulikuwa kwenye huzuni ya maombolezo ya baba wa taifa
 
Unataka kuanza mradi wa matofali ya mkono AKA Bambam au kwa kutumia vibration machine na mixer
 
Ni MP nikupeleka details mm ni mmoja wa wanao fanya hiyo biashara
 
Eneo.... Mashine.... Mchanga lori 1 na changarawe.... Sement mifuko.... Na watenda kaz. . Hapo unaanza na kusoma upepo..... Unakuza mtaj
 
Mashine ya kisasa ya umeme inayotoa tofali 2 kwa mpigo shs 14000.000..mixer ya kukoroga zege 3m...tafuta eneo la kukodisha. .weka umeme..chimba kisima cha maji...na kadhalika na kadhalika
 
Wana jamii Wana mabadiliko naombeni kujua mweny utaalamu na biashara ya tofali it means uwe na sehem, mashine na works kwa kufyatua na kuuza mtaji ni kama shiling ngap?? Thnx

hii kitu si chini ya million 20 machine imara inagharmu 5mil had 6mil...kisima kuchimbiwa kinacost zaid ya 2.5 mill , cement mchanga,na vifaa vingine ...sasa ukipata eneo nzuri lenye wateja na matofali ukawaunatoa mazuri inalipaaa aise tena hata miaka miwli haifiki...
 
Tutafakari pamoja mchanganuo huu, nimejaribu ku-brainstorm na washikaji. Hizo fixed costs zitarudi polepole kutoka kwenye hiyo net profit kwa kuhifadhi bank sehemu ya hiyo faida, say laki tano kila mwezi. Cha muhimu ukumbuke biashara hiyo ni very localized, kwa sababu watu huwa hawanunui matofali mbali sana na site. Kwa hiyo eneo hilo likijegwa likajaa itabidi uhamishie biashara sehemu ambayo ujenzi bado unafanyika sana.
Mchanganuo.jpg
 
View attachment 299153
Shukrani sana mkuu
 
Back
Top Bottom