ignas kinunda
Member
- Sep 2, 2013
- 22
- 2
Wana jamii Wana mabadiliko naombeni kujua mweny utaalamu na biashara ya tofali it means uwe na sehem, mashine na works kwa kufyatua na kuuza mtaji ni kama shiling ngap?? Thnx
Shukrani sana mkuuTutafakari pamoja mchanganuo huu, nimejaribu ku-brainstorm na washikaji. Hizo fixed costs zitarudi polepole kutoka kwenye hiyo net profit kwa kuhifadhi bank sehemu ya hiyo faida, say laki tano kila mwezi. Cha muhimu ukumbuke biashara hiyo ni very localized, kwa sababu watu huwa hawanunui matofali mbali sana na site. Kwa hiyo eneo hilo likijegwa likajaa itabidi uhamishie biashara sehemu ambayo ujenzi bado unafanyika sana.
View attachment 299153