Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Mfano mtu ana mtaji wa laki5,anaweza fanya biashara gani ambayo itamuwezesha kuongeza mtaji huo had kufika labda milion 5 hivi.na kwa kukadirika itachukua muda gani.naombeni ushauri na mawazo yenu. Mchanganuo wenu ni muhimu