Mtaji laki5,nawezaje kununua gari? Baada ya muda gani?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Mfano mtu ana mtaji wa laki5,anaweza fanya biashara gani ambayo itamuwezesha kuongeza mtaji huo had kufika labda milion 5 hivi.na kwa kukadirika itachukua muda gani.naombeni ushauri na mawazo yenu. Mchanganuo wenu ni muhimu
 
tuma neno mahela kwenda 155xxx kuna zaidi ya 400m kushindaniwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…