Mfarisayomtata
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 474
- 188
wadau mimi nipo dodoma mjini nna mtaji wa sh. Mill 3, sasa kwa waliopo dodoma naombeni mnisaidie kuzitambua fulsa zilizopo, mana mi nimeziona baadhi ambazo kwa mtaji huu sitaweza kuzitekeleza. Michahango yenu wadau tafadhari.....