Mfarisayomtata JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 474 Reaction score 188 Apr 30, 2014 #1 wadau mimi nipo dodoma mjini nna mtaji wa sh. Mill 3, sasa kwa waliopo dodoma naombeni mnisaidie kuzitambua fulsa zilizopo, mana mi nimeziona baadhi ambazo kwa mtaji huu sitaweza kuzitekeleza. Michahango yenu wadau tafadhari.....
wadau mimi nipo dodoma mjini nna mtaji wa sh. Mill 3, sasa kwa waliopo dodoma naombeni mnisaidie kuzitambua fulsa zilizopo, mana mi nimeziona baadhi ambazo kwa mtaji huu sitaweza kuzitekeleza. Michahango yenu wadau tafadhari.....
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,292 Apr 30, 2014 #2 taja ulizoziona kwanza ndio na sisi tutitirike